Akili mkichwa ukizuba umeeacha hii ndio twitter bana.

TOTS SHALO

Senior Member
Sep 24, 2012
152
25
kuna dem mmoja niliona kaaplog picha yake twitwer ukweli alibamba hisia zangu nikamua kumfoll kisha nikamuandiki sms Tots. Hey mambo vp
Garl. Poa mzma wewe
Tots. Ebana mie mzma
Garl. Naomba unilushie vocha ya sh 500
Tots. Dah! samahani sina hela apa
kesho yake
Tots. Hey naomba unitumie contact zako
Galr. Sina sim natumia raptop ulikua unataka za nini?
Tots. Nilikua nataka nikulushe vocha
Garl. Ooh! Sorl nilikua nakutania tu
Tots. Ok hata mie nilikua nakutania tu.
 
kaaplog,twitwer,kumfoll,garl,unilushe,nikulushe,sorl
aaaaa kweli twitter.
Na mie naomba nikufoll
 
mengine haya hapa......''apa,sim, raptop, nikamuandiki, mzma.... "'

ujue ckusoma hadi mwisho niliona utoto utoto.
Mwanamke wa ukweli haombi vocha500 na mwanaume waukwee hawezi kuja kulalamika humu kisa 500
 
kuna dem mmoja niliona kaaplog picha yake twitwer ukweli alibamba hisia zangu nikamua kumfoll kisha nikamuandiki sms Tots. Hey mambo vp
Garl. Poa mzma wewe
Tots. Ebana mie mzma
Garl. Naomba unilushie vocha ya sh 500
Tots. Dah! samahani sina hela apa
kesho yake
Tots. Hey naomba unitumie contact zako
Galr. Sina sim natumia raptop ulikua unataka za nini?
Tots. Nilikua nataka nikulushe vocha
Garl. Ooh! Sorl nilikua nakutania tu
Tots. Ok hata mie nilikua nakutania tu.

Unajua unatakiwa uwe na sifa gani mpaka umtumie mtu msg katika twetter?
Jipange.
 
jamani eeh! Hili kama fundisho kwenu vjana yasije kuwakuta majanga na usidhani dem kaomba sh 500 ukadhani mjinga la hasha alikua anapima ulefu wa mto kabla hajaingia kuogelea hivo kuweni makini.
 
jamani eeh! Hili kama fundisho kwenu vjana yasije kuwakuta majanga na usidhani dem kaomba sh 500 ukadhani mjinga la hasha alikua anapima ulefu wa mto kabla hajaingia kuogelea hivo kuweni makini.

huo ulefu wa mto ndo unapimwa namna hiyo....

uandishi wako no mbovu sana I cant imagine ukipewa
pen na karatasi itakuwaje
 
Mangi kama ulichafukwa wewe ungempa ya 5000/= ama Tenere fulu (10000/=).

Hakunaga za bure round hii, ulitaka kutembelea Clutch eeh?? Ushachoma Cluth plate sasa unakuja kulialia kisoro huku?

Enda Neefo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom