Rex kapula
Member
- Jul 15, 2022
- 5
- 4
Pia wanakera, maombii mnafanya mwezi huu, then kuitwa kwenye usahili ni baada ya miezi kadhaa...Habari wanajukwaa,
Mimi ni kijana niliyeomba ajira utumishi kupitia Dirisha la ajira za utumishi (Ajira portal). Mpaka sijajua ni lini watatoa short list yao.
Lakini cha kushangaza kuingia kwenye wavuti ya taasisi niliyoomba (MoCu) nimeona majina ya watu kuitwa kwenye interview. Na ukiangalia ni post ile ile niliyoomba.
Ukirudi kwenye dirisha la ajira wanasisitiza kuwa endapo hutachaguliwa utajulishwa kupitia email na kupitia akaunt yako ya maombi, hivyo hivyo ukifaulu basi utajulishwa kupitia njia hizo kama nilivyotaja hapo juu.
Je, huo ndio mtindo wao wa utoaji ajira? Au ni kucheza na akili za watu tu?
Msaada kwa anayejua!!
Account Yako ya ajira Portal kwenye my application wamekuandikia nnHabari wanajukwaa,
Mimi ni kijana niliyeomba ajira utumishi kupitia Dirisha la ajira za utumishi (Ajira portal). Mpaka sijajua ni lini watatoa short list yao.
Lakini cha kushangaza kuingia kwenye wavuti ya taasisi niliyoomba (MoCu) nimeona majina ya watu kuitwa kwenye interview. Na ukiangalia ni post ile ile niliyoomba.
Ukirudi kwenye dirisha la ajira wanasisitiza kuwa endapo hutachaguliwa utajulishwa kupitia email na kupitia akaunt yako ya maombi, hivyo hivyo ukifaulu basi utajulishwa kupitia njia hizo kama nilivyotaja hapo juu.
Je, huo ndio mtindo wao wa utoaji ajira? Au ni kucheza na akili za watu tu?
Msaada kwa anayejua!!
Ni kweli aisee, kumekua na delays sanaPia wanakera, maombii mnafanya mwezi huu, then kuitwa kwenye usahili ni baada ya miezi kadhaa...
Ulitaka ukituma maombi leo uitwe leo leo mkuu?Pia wanakera, maombii mnafanya mwezi huu, then kuitwa kwenye usahili ni baada ya miezi kadhaa...
Ndo mkae miezi yote hiyo,mpaka Watu tunasahau tuli applying sehemu...Ulitaka ukituma maombi leo uitwe leo leo mkuu?
Mambo yawe mepesi jamani, pindi mtu anafungua account, wawe Wana hakiki taarifa za mtu, baada ya hapo kazi ikitokea Kila aliye apply anaitwa, bila kufatilia fatilia mara sijui hivi vile...Ni kweli aisee, kumekua na delays sana
Mkuu mm pia nlishawah omba kazi huko ajira portal but Mpaka Leo nnaona tu "RECEIVED" pale kwenye application status vp hapoAccount Yako ya ajira Portal kwenye my application wamekuandikia nn
Sio wewe tu mimi pia bado inaandika received na watu washaitwa na wamesha ajiliwa mpaka wengine wanakalibia kustaff 😀😀. Kuna mmoja hapo nimemuelewa, kasema usipoitwa ni kuwapigia simu kufanya nao mawasiliano.Mkuu mm pia nlishawah omba kazi huko ajira portal but Mpaka Leo nnaona tu "RECEIVED" pale kwenye application status vp hapo
Nimecheka walahi ..Sio wewe tu mimi pia bado inaandika received na watu washaitwa na wamesha ajiliwa mpaka wengine wanakalibia kustaff [emoji3][emoji3]. Kuna mmoja hapo nimemuelewa, kasema usipoitwa ni kuwapigia simu kufanya nao mawasiliano.
Punguza uongoSio wewe tu mimi pia bado inaandika received na watu washaitwa na wamesha ajiliwa mpaka wengine wanakalibia kustaff 😀😀. Kuna mmoja hapo nimemuelewa, kasema usipoitwa ni kuwapigia simu kufanya nao mawasiliano.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio wewe tu mimi pia bado inaandika received na watu washaitwa na wamesha ajiliwa mpaka wengine wanakalibia kustaff [emoji3][emoji3]. Kuna mmoja hapo nimemuelewa, kasema usipoitwa ni kuwapigia simu kufanya nao mawasiliano.
I hope it's not Ponzi Scheme.Karibuni Kalynda e-commerce tutengeneze commission pamoja mtandaoni,, kwa mtaji wa 20,000 mpaka 200,000 kwa wanaoanza utakuwezesha kupata commission yako ya sh.800 mpaka 8,000 kwa siku..Vitendea kazi ni simu yako na bando lako popote ulipo Tanzania..Mwenye uhitaji nicheki WhatsApp 0657940974 nikupe link..mwenye uhitaji wa kujua zaidi tembelea ofc za Kalynda PSSSF Tower 30th floor karibu na TRA HQ maeneo ya Stesheni..
Daaahh kweli mpaka wengine wanaelekea kustaafuSio wewe tu mimi pia bado inaandika received na watu washaitwa na wamesha ajiliwa mpaka wengine wanakalibia kustaff [emoji3][emoji3]. Kuna mmoja hapo nimemuelewa, kasema usipoitwa ni kuwapigia simu kufanya nao mawasiliano.