M marioz Member Joined Feb 5, 2013 Posts 7 Reaction score 5 Jul 29, 2013 #1 tangu januari kuna mjomba wangu alifanya interview ya kazi pale utumishi kwa nafasi za credit officer. mpaka leo naona kimya kwani hawajaita wala kutoa kwenye web yao. au tayari mchakato umekwisha? please wadau tusaidianeni wenye info za hiyo kitu
tangu januari kuna mjomba wangu alifanya interview ya kazi pale utumishi kwa nafasi za credit officer. mpaka leo naona kimya kwani hawajaita wala kutoa kwenye web yao. au tayari mchakato umekwisha? please wadau tusaidianeni wenye info za hiyo kitu
L lazima ukae JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 791 Reaction score 417 Jul 29, 2013 #2 Mmmmh...ngoja tusubiri wadau waje