Duuh pole mkuu nijuavyo mimi kitu kama hiko hakipo na kama kikitokea kwa sababu baasi utakapopatA Mshahara wako wa kwanza itakuradhim kUandika barua kuomba malimbikizo yako ya mshahara ukiambatanisha na benki statement ya akaunt uliyopokelea mshahara....kama sijakosea
Wadau naomba,msaada hiv unaweza kuajiriwa na,serikali halafu msilipww mshahara kwa miez 4 na hampew taarifa yoyte kwa nini hamlipwi ila mnaambiwa mkija,anza kulipwa hamtapewa ariers za miez ilopita naomba msaada mana,tunateseka huku
Hakuna kitu kama hicho. Tena siku hizi data sheet za waajiriwa zinawahishwa fasta na baada ya miezi miwili unapata mshahara. Kuhusu arrears zinalipwa kama kawaida. Hao watawala wako wanakudanganya, ila na wewe jiongeze kidogo!
Mkuu mi nimeajiriwa Mei mwaka huu nimekujq kupata mshahara mwez wa 9!!
Zile zilizopita nadai kama Malimbikizo!!serikali haina ttz ..shida ni pale Halmashaur unakuta hawajatuma taarifa zako!!au wamekosea kutuma kiusahihi...mimi nlisepa home hadi mshahara ulipotoka ndo nmekuja kazini na ni serikalini!!