Pia unaweza ukajiajiri mwenyewe kwa kuanzisha taasisi ya kufundisha kiswahili kwa wageni na hata sie wenyeji maana tunajifanya tunajua kiswahili kumbe hakuna kitu, btw soko la ajira lipo kubwa tu kwa nje ya nchi maana mpaka sasa sijui kama hiyo masters inapatikana hapa bongo pamoja na kwamba tunatumia kiswahili daily