Kama unazungumzia ajira za maafisa ugani waliomaliza astashahada na cheti kwa waliosoma vyuo vya kilimo., vilivyo chini ya wizara ya kilimo ni balaaa.,....haya mambo yapo kisiasa....hamna taarifa rasmi kwamba waliomaliza wataajiriwa lini ila kuna tetesi tu kwamba wataajiriwa alfu moja katika mwaka huu wa fedha.