C Chite Di Herrera New Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jul 20, 2015 #1 nimemaliza nursing ya mwaka mmoja mwezi uliopita,kwa iyo naulizia kama serikali imeshatangaza ajira upande wa afya mwaka huu na unaombaje...asanteni....!
nimemaliza nursing ya mwaka mmoja mwezi uliopita,kwa iyo naulizia kama serikali imeshatangaza ajira upande wa afya mwaka huu na unaombaje...asanteni....!
Depretty JF-Expert Member Joined Jun 14, 2013 Posts 248 Reaction score 99 Jul 21, 2015 #2 umesoma chuo gani??naomba kujuzwa mpendwa naitaji kusomea
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,117 Jul 21, 2015 #3 taja chuo ulichosoma
W Wamifano Member Joined Jul 22, 2015 Posts 18 Reaction score 4 Jul 24, 2015 #4 Wakuu hivyo vyuo wanavyosomea afya ya mwaka mmoja ni vingi sana kama VP nitafute p.m