Samahani wapendwa sijui ni Mimi tu, sijawahi kuona kazi zikitangazwa tamisemi, sasa sijui tamisemi wafanyakazi hawastaafu, au hawahamishwi au hawaachi kazi? Naomba tusaidiane, Mimi binafsi natamani sana kufanya kazi na hiyo taasisi, kila nkichungulia magazeti wapi, kwenye mitandaao ndo kabisa. Sijawahi ona wakitangaza, msaada plz
Inaonyesha hata hujui nini maana ya TAMISEMI!! ...tamisemi ni tawala za mikoa na serikali za mitaa!!
Hivyo,waajiriwa wote wa ofisi za halmashauri za wilaya tanzania(LGAs) pamoja na waajiriwa wa ofisi za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wapo chini ya TAMISEMI
Ajira za tamisemi (isipokua walimu na watu wa idara ya afya ambao hupangiwa kaz moja kwa moja) hushughulikiwa na kutangazwa na Sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma ambayo kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 km ilivyofanyiwa marekebisho na sheria namba 18 ya mwaka 2007 kifungu cha 29(1) imepewa mamlaka ya kuendesha mchakato wa ajira ktk utumishi wa umma ,
Hivyo,TAMISEMI wanatangaza nafas na kuajiri watu kila mara lkn ajira zao hupitia sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma km nlivyoeleza hapo juu!!
Mpaka juz tu wamewaajiri vijana kibao kwenye kada tofauti tofauti ikiwemo afisa tarafa,afisa utumishi,afisa tawala nk!!
Kwa maelezo zaid ya namna ya kuzipata ajira za tamisemi,usiache kutembelea web ya sekretariet ya ajira ktk utumish wa umma ambayo ni PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
maelezo mazuri sana inaonekana mleta mada hajui chochote kabisa.Nakushukuru kwa kumsaidia

Maelezo yako ni sawa. Lkn hata hivo bado hawako wazi sana hasa kwenye nafasi za ngazi ya juu mfano Wakurugenzi Watendaji (DED) au wakuu wa Idara na makatibu tawala. Ningependa kufahamu kama nafasi hizo ni za kuteuliwa au?
Inaonyesha hata hujui nini maana ya TAMISEMI!! ...tamisemi ni tawala za mikoa na serikali za mitaa!!
Hivyo,waajiriwa wote wa ofisi za halmashauri za wilaya tanzania(LGAs) pamoja na waajiriwa wa ofisi za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wapo chini ya TAMISEMI
Ajira za tamisemi (isipokua walimu na watu wa idara ya afya ambao hupangiwa kaz moja kwa moja) hushughulikiwa na kutangazwa na Sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma ambayo kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 km ilivyofanyiwa marekebisho na sheria namba 18 ya mwaka 2007 kifungu cha 29(1) imepewa mamlaka ya kuendesha mchakato wa ajira ktk utumishi wa umma ,
Hivyo,TAMISEMI wanatangaza nafas na kuajiri watu kila mara lkn ajira zao hupitia sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma km nlivyoeleza hapo juu!!
Mpaka juz tu wamewaajiri vijana kibao kwenye kada tofauti tofauti ikiwemo afisa tarafa,afisa utumishi,afisa tawala nk!!
Kwa maelezo zaid ya namna ya kuzipata ajira za tamisemi,usiache kutembelea web ya sekretariet ya ajira ktk utumish wa umma ambayo ni PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
Samahani wapendwa sijui ni Mimi tu, sijawahi kuona kazi zikitangazwa tamisemi, sasa sijui tamisemi wafanyakazi hawastaafu, au hawahamishwi au hawaachi kazi? Naomba tusaidiane, Mimi binafsi natamani sana kufanya kazi na hiyo taasisi, kila nkichungulia magazeti wapi, kwenye mitandaao ndo kabisa. Sijawahi ona wakitangaza, msaada plz
Umeishia kidato gani mkuu. Labda tuanzie hapo kabla ya kukujibu... Maan nimeona umeuliza had nafasi ya mkurugenzi