unapata kazi private sector, unafukuzwa bado ajira portal iko vile vile[emoji3]Kuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu? Kuliko kila week au mwezi unaangalia kitu ambacho hakipo kwenye mfumo, ni udanganyifu.
.View attachment 2407074View attachment 2407075
Nani wa kusikiliza malalamiko ya vijana wasio na ajira 😫🤦♂️Ila Watanzania inabidi tujue kuwa madudu kwenye nchi hii hayapo HESLB tu,, hatu huko PSRS Nako Kuna madudu na taasisi nyingi za Serikali...So tufanye mambo yetu tu tuwaachie wafaidi wenyewe waloshika mpini
Nani wa kusikiliza malalamiko ya vijana wasio na ajira 😫🤦♂️
Kwanza mjomba apo kwenye TRA kama ulisoma maelekezo yao vizuri walisema uombe kaz moja kati ya izo mbili hata kama unavyo vigezo vya kuomba zoteKuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu? Kuliko kila week au mwezi unaangalia kitu ambacho hakipo kwenye mfumo, ni udanganyifu.
.View attachment 2407074View attachment 2407075
Sjasema wameitwa kwanza nlvoskia izo zilitangazwa kisiasa tuu kutoka kwenye source moja kwamba hawana mpango wa kuitaSawa sio mbaya hao wengine walioomba moja tayri washaitwa
afisa biashara tamisemBoss ni taasisi ipi hiyo ambayo nafasi zake zipo pending.
Mambo mengine yapi wakati mtu kamaliza chuo Hana kazi ya kufanya yupo mtaani au ww umeomba huku upo jobSo nyie mkishaapply kazi hamuendelei na mambo mengine