noel mahenge
Member
- Jun 1, 2014
- 6
- 0
Samahan mkuu mm nipo nje ya mada kidogo hv kama vyeti bado hazijatoka na unataka kuomba nafasi za jkt so unaweza kutumia hata hy transcrpt na ukakubaliwa hata kama bado vyt havijatoka .Tumia Transcript, kama nayo huna basi subiri wkt mwingine coz huna sifa. Maana kukosa Transcrpt obvious hata leseni/chet cha usajili hutokua nacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan mkuu mm nipo nje ya mada kidogo hv kama vyeti bado hazijatoka na unataka kuomba nafasi za jkt so unaweza kutumia hata hy transcrpt na ukakubaliwa hata kama bado vyt havijatoka .
Jamani tumetuma barua na cv zetu mbona wamekaa kimya hadi leo kulikoni.... Watatoa lini majina ya walipata hizo kazi??!
Sawa basi watoe majina ya watu waliochaguliwa kwaajili ya usahili braza.... Bt sidhani kama zitakuwa na usahili hizo ajira zaoKazi bila usaili mkuu?
Hizi ajira hazinaga usaili hua ni post za moja kwa moja..sema sijui ilikua ni changa la macho tu..ngoja tuwasikilizie.Sawa basi watoe majina ya watu waliochaguliwa kwaajili ya usahili braza.... Bt sidhani kama zitakuwa na usahili hizo ajira zao
Na hivyo ndivyo ninavyofahamu mimi.... Ngoja tuone mwisho wakeHizi ajira hazinaga usaili hua ni post za moja kwa moja..sema sijui ilikua ni changa la macho tu..ngoja tuwasikilizie.
Wewe kama nanitarehe 12 tutatoa majina