Ajira mpya msimu huu

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Vijana pigeni kura zenu kwa madiwani na wabunge wa upinzani alafu wapinzani wakishinda kuna kuwa na mkataba wa kudumu kuhusu ajira kwa vijana na halmashauri husika.

1. Tutatoa tenda ya kusuppy vifaa halmashauri husika kwa kuwapa mitaji ya kazi.

2. Tutawapa tenda zote za kila Kata za Soko, Usambazaji wa huduma au bidhaa, Usafi na Ujenzi katika halmashauri na tutawapa vifaa vya kutenda kazi na mitaji husika.

3. Tutatoa mitaji nafuu kila mtaa/ kijiji katika halmashauri husika yaani mitaji isiyo na masharti.

4. Tutatenga maeneo maalumu ya kufanya biashara na kuwatafutia masoko ya bidhaa au huduma zenu katika halmashauri zingine kwa kutengeneza mtandao wa pamoja na hapa mitaji ni bure.

Hapa sizungumzii hela za 10% kwa vijana mnazotoa hizo.

NB

Chanzo cha mitaji ni mshahara wa mbunge na madiwani 50%, mfuko wa jimbo na wadau wa maendeleo.

By

Mtoto wa mjini

Nyamagana stand up.
 
Kampeni mapema hivi... Anyway karibu Buhongwa choef

Typed Using KIDOLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…