Mm napendekeza kama unamtaji, unaweza cheki mchakato wa kufungua kampuni yako, au kama mtaji ni tatizo unaweza kutafuta watu na kujiunga wawili au watatu. Mkafungua kampuni yenu ambayo inaweza kufanya kazi karibia zote za security systeme, mfano (intruder, fire control systeme, access control, electric fance, cctv cameras, mageti ya kufunguka kwa umeme, nk) hapo pia ni vizuri mmoja wenu akawa anaufahamu wa Information Technology, maana sasahivi technology inazidi kwenda mbele, hata mifumo mingi ya ulinzi wa majumbani au ofisi unaweza kuangalia au kuuongoza ukiwa mbali kwa kutumia Internet.
Kuhusu kuajiriwa, unaweza kutafuta ajira, lakin ni makampuni machache yenye uwezo wa kulipa mshahara mzuri. Kwamfano hayo makampuni ya ulinzi, ndiyo kabisaaa yanalipa mshahara kiduchu!