Apply mkuu. Shavu ilo.Hii ajira ni part-time
Nilifanya miaka ya nyuma na inalipa vizuri sana ingawa ilikuwa ni masaa machache sana kwa wiki
Ntajaribu mkuu kama ni karibu na mahali nilipoApply mkuu. Shavu ilo.
Ajira ni nyingi sana hata ukitaka kufanya kazi tatu ni wewe na nguvu yako tukumbe ughaibuni kuna ajira hivi... ila huwa napata shida sana kuona walipo huko wakiwaambia wa huku kuwa hakuna ajira...
na katika hizi ajira za kiswahili huwa wanasema kabisa mtu kutoka kenya na tanzania ndio wana mhitaji zaidi... kwa kuwa kiswahili huko ndipo kina zungumzwa zaidi...
Hongera mkuu, lakini ungeweza saidia na watanzania wenzako... walio na shida ya kupata ajira... au kwanini usianzishe kampuni yako na kutafuta ajira huko ughaibuni alafu una kuja kuchukua cheap labour huku ili kujaribu kupunguza tatizo la ajira na vile vile kuwasaidia kwa namna moja au nyingine...Ajira ni nyingi sana hata ukitaka kufanya kazi tatu ni wewe na nguvu yako tu
Na hii ya ukalimani inapatikana na mshahara unaanza na £16 -£36 kwa saa moja. 48,000- 108000 ya tz kwa saa
Kama ukichukua diploma ndio unalipwa hiyo £36
Ukalimani sio kiswahili tu
Mimi naongea lugha 4 na nimezifanyia kazi 3 na kulipwa vizuri tu
Wazo zuri, tatizo sheria zao ngumu mno.Hongera mkuu, lakini ungeweza saidia na watanzania wenzako... walio na shida ya kupata ajira... au kwanini usianzishe kampuni yako na kutafuta ajira huko ughaibuni alafu una kuja kuchukua cheap labour huku ili kujaribu kupunguza tatizo la ajira na vile vile kuwasaidia kwa namna moja au nyingine...
wanao angaika ni wengi... ila wa kuweza kuwashika mkono ndio hamna... kwanini kisifanyike hiki kitu... kukawa na kampuni ikasajiriwa Uko ulipo na huku kukawa na tawi au huku na huko kukawa na tawi... na kujaribu kuprocure kazi ambazo una weza ingia nao mkataba kwa kuwa tafutia wafanyakazi au kutafuta wewe wafanyakazi na ukawa wewe una walipa wafanyakazi wako
mf. huku tz kuna makampuni ya ulinzi, usafi na wewe waweza anzisha huko na kutangaza offer yako kwa utakae muajiri... wakupigie kazi...
ni maoni tu mdau...
Ni ngumu kuchukua wafanyakazi kutoka nje ya nchi kwa sababu wapo wengi hapahazi ruhusu wageni kufanya hizo kazi? au wapi kuna mkwamo ndg. ili tuone wapi panaweza kusaidika kama itawezekana
Kufanya kama hivyo ulivyosema, kuorganise na kuchukua watu na kuwafanyisha kazihazi ruhusu wageni kufanya hizo kazi? au wapi kuna mkwamo ndg. ili tuone wapi panaweza kusaidika kama itawezekana