Ajira kwa mwenye cheti cha bima.

idtech

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
319
Reaction score
800
Wakuu habari.
Kama kichwa cha habar hapo juu kisemavyo.
kuna furusa ya ajira kwa mtu mwenye cheti cha bima kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma japo mwenye certificate anapewa upendeleo zaidi na sifa nyingine ya muhimu ni muombaje awe anakaa maeneo ya kibaha.
Kama upo interested basi tuwasiliane kupitia number hizi.
+255 742 077 616
+255 783 077 616
 
Hata kama kuna watu wanashida, jaribu kuwaandikia atleast wajue ajira ni ya nin na detail za muhimu ili upate mtu makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…