Ajira kilimo.

semwe

Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Jamani naombeni msaada. mwezi uliopita tuliandika barua za ajira selikalini. Mwenye tetesi, je ni lini majibu yetu.
tunasota sana mtaani.
 
Majuzi na juzi kuna watu wameitwa kufanya interview Dar. Mdogo wangu ni mmoja wa walioitwa. Amefanya juzi. Unless kama kuna batches tofautitofauti.
 
asanteni jamani kwa majibu mazuri. nitaendelea kusubiri
 
asanteni jamani kwa majibu mazuri. nitaendelea kusubiri
CEREALS & OTHER PRODUCE BOARD walifanya Intavyuu yao chuo cha Utalii Temeke Mwembe Yanga
 
CEREALS & OTHER PRODUCE BOARD walifanya Intavyuu yao chuo cha Utalii Temeke Mwembe Yanga[/QUOTE

ndio hii alifanya dogo,walikuwa zaidi ya 80 na walitakiwa 4!
 
ndio hii alifanya dogo,walikuwa zaidi ya 80 na walitakiwa 4!
Walipita 15 out of 80 ambao walifanya "oral" kesho yake.

Majibu? After 2-weeks!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…