Ajira kazi ya stationery

Areus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
363
Reaction score
451
Habari ndugu zangu.
Napenda kuwatangazia kuwa km una ndg au jamaa ana ujuzi wa secretarial course au kompyuta kwa ujumla basi natafuta mtu wa Kazi ya stationery. Km yupo Niunganishe nae inbox niweze kuwasiliana nae..
NB. Jinsia ya kike atapewa kipaumbele zaidi
Mawasiliano zaidi
0657576122/ 0789068198

NB: Awe mkazi wa wilaya ya Mtwara na ndiko iliko ofisi
 

Sisi wakazi wa Dar es Salaam tunacomment wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…