DOKEZO Ajenda ya ‘KUMSEMEA MAMA’ yaipasua UVCCM

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unajua unapokisifia kitu nilazima kitapondwatu.
Kama macho yako yanaona mematu basi yapo yanayoona mema na mabaya.
Shida ya mtoa mada hajataja hizo ajenda mbaya za Madelu
 
Hana haja ya kumsemea mama coz yafuatayo yameshamsemea na WA Tanzania tumemwelewa!!

1.Mgao wa umeme umeshamsemea!

2.ugum wa maisha Kwa watz kumeshamsemea!

3.maisha duni ya watumishi was umma kumeshamsemea!!

Na mengine meeengi tunayafanyia kazi!!
Ulisha aaambiwa ukiona maisha magumu hama burundi
 
Hakuna ubaya wowote kwa mwana CCM yeyote kuwa na ndoto ya urais. Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
P
 
Dhehebu lake ni kikwazo kuelekea ndoto yake ndani ya CCM. Sidhani kama CCM wanaweza kusimamisha mgombea asiyekuwa Mkatoliki.
Mkuu msakaa jr , asante sana kwa hoja hii. Japo jf ina members wengi, lakini watu wakweli kabisa toka ndani ya nafsi zao, ni wakutafuta kwa tochi!, tuko wachache na hongera kwa wewe kuwa ni miongoni mwa mmoja wao!.

Hii hoja ya rais wa nchi na ukatoliki, ni hoja nyeti!. Niliwahi kuuliza humu kuwa kwa nini rais wa Tanzania akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?. Bandiko hilo lilifutwa fasta. Japo wengi hawajui, Dr. Mpango ni Mkatoliki!.

Kuna mtu akanishika sikio kumhusu Dr. Mpango 2025, Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?! nikauliza swali hili hili

P
 
So mpango ndiyo mpango mzima ?!
Ngoja tuone. !
 
Luca hujalamba na wewe kifuko cha khaki kweli,mbona sasa huweki tena namba ya simu🤓
 
Hana haja ya kumsemea mama coz yafuatayo yameshamsemea na WA Tanzania tumemwelewa!!

1.Mgao wa umeme umeshamsemea!

2.ugum wa maisha Kwa watz kumeshamsemea!

3.maisha duni ya watumishi was umma kumeshamsemea!!

Na mengine meeengi tunayafanyia kazi!!
Sisi raia tumemsikia sana mama na tumemwelewa. Ni wakati wake na yeye atusikilize wananchi wake.
Maana ni ukweli ulio wazi kwamba hata yeye anajua, "HATUMWELEWI".
Hivyo tunasubiri busara zake kwa kutoendelea kutulazimisha ili tumwelewe.
 
Hizi jumuiya za vijana kuanzia CCM hadi upinzani kwa nyakati hizi zimekuwa za hovyo kutumika vibaya.
 
Nadhani ni vyema turejee nyuma wakati wa harakati za ukombozi wa nchi hii; tufahamu uhusiano uliyopo kati ya Dola na kanisa Katoliki. Si vibaya nikimualika mwanahistoria bwana Mohamed Said katika mjadala huu.

Yayumkinika safari ya Mhe.Rais kule Vatican ilikuwa na ajenda ya Uchaguzi ujao. Hivyo kusemekana kwa Mpango labda yaweza kuwa kweli. Mama Amon

Tunaweza kutumia dhehebu lake na chanzo cha taarifa kama ushahidi unaotosha katika kukubaliana na suala la Mpango kuwa mpango mzima.
 
Uzalendo wako kwa nchi unaonekana kwa Mwigulu eeh?.

Why hauandiki dodoso la kuitaka serikali iliyo chini ya CCM wapunguze garama za maisha na kuitaka kukubali ujenzi wa katiba mpya kuondoa hii kongwe?.

Nadhani utakuwa umekatwa kwenye majina yaliyokuwa yanatakiwa, vinginevyo hiyo sijui unajiandikia uzalendo uguse kotekote siyo kwa sababu ya mwanachama mwenzako ndg waziri wa fedha!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…