Funguka vizuri kuhusu ajali hiyo. Hiyo ajali imehusisha basi la abiria au vinginevyo? limegongana na gari lingine au limepinduka? imetokea lini leo au jana na sehemu gani ya Mtwara ? majeruhi vipi hali zao?
ni ajali mbaya sana gari ndogo imewaparamia wanafunzi wakati wanakimbia mchakamchaka na kuua 5 on the spot na majeruhi wengi sana, ni shule inayofadhiliwa na mustafa sabodo ipo nje kidogo ya manispaa ya mtwara