Hakuna ajali yeyote hapo, ni ajali za kutengeneza bila kujulisha wafanyakazi wa dharula ili kuwapima kama wako makini na kazi zao. Maana ajali ya mwisho kutokea pale sikumbuki !! unaajiriwa pale airport fire rescue mpaka unastaafu hakuna ajali ya moto, so lazima washtuliwe kidogo wasije sinzia mazima !