T testa JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 442 Reaction score 183 Dec 29, 2012 #1 Wakuu nipo kwenye daladala hapa maeneo ya kimara stop over magari hayaendi mbezi wala kuja ubungo nasikia kuna lori limepinduka na kuziba njia yoyote mwenye taarifa atuhabarishe
Wakuu nipo kwenye daladala hapa maeneo ya kimara stop over magari hayaendi mbezi wala kuja ubungo nasikia kuna lori limepinduka na kuziba njia yoyote mwenye taarifa atuhabarishe