Ajali ya bus la Najmunisa

thom71

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
36
Reaction score
9
Basi la Najmunisa limepata Ajali jana asubuhi maeneo ya Shinyanga lilikuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar es salaam.

Ajali imetokea Kama kilometa tatu kutokea stendi ya Shinyanga Chanzo cha Ajali inasemekana tairi ya mbele ilipasuka na kumshinda dereva hivyo kupelekea Basi Hilo kupinduka.

Hadi natoka hapo kwenye tulip ni maheruhi tu ndio niliowaona hakukuwa na mtu amefariki.
 
Kama hakuna aliyepoteza maisha tunashukuru!
 
gari hili nało kwa ajali kiboko....
 
Salamu za pole kwa majeruhi
 
Namba ya gari?
 
Da nilinisurika kifo mwaks 2003 kwa case hyo hyo ya kupasuka tairi kwa basi hyo hyo ya najmunisa
 
Anakaribia kutoa basi mpya lazima damu imwagike
 
Muwazi kuna kitu hapa njoo uone!!!

Pole majeruhi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…