Fundi wa fundi Senior Member Joined Apr 18, 2017 Posts 117 Reaction score 53 May 7, 2017 #1 Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea
Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea
B Baba Wawili 2012 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 413 Reaction score 336 May 7, 2017 #2 Fundi wa fundi said: Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea Click to expand... check my thread nimeanzisha mda huu tujadili
Fundi wa fundi said: Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea Click to expand... check my thread nimeanzisha mda huu tujadili
Fundi wa fundi Senior Member Joined Apr 18, 2017 Posts 117 Reaction score 53 May 7, 2017 Thread starter #3 Hamasisha wadau sababu basi lile linasadikiwa kuwa coaster ya Moshi Arusha ambalo hata dereva alichukuliwa tu asubuhi yaani wanasemaje wanadai ni shunter
Hamasisha wadau sababu basi lile linasadikiwa kuwa coaster ya Moshi Arusha ambalo hata dereva alichukuliwa tu asubuhi yaani wanasemaje wanadai ni shunter
georgina george Senior Member Joined Dec 19, 2012 Posts 114 Reaction score 30 May 7, 2017 #4 Fundi wa fundi said: Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea Click to expand... Jitahidi sana kujenga mazoea ya kusoma thread zilizotangulia.
Fundi wa fundi said: Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea Click to expand... Jitahidi sana kujenga mazoea ya kusoma thread zilizotangulia.