Kumetokea ajali wami darajani. ajali imehusisha lori la mizigo na tanker la mafuta. Ajali imesababisha usumbufu mkubwa kwa abiria baada ya malori hayo kuziba daraja
Kumetokea ajali wami
darajani. ajali imehusisha lori la mizigo na tanker la mafuta. Ajali
imesababisha usumbufu mkubwa kwa abiria baada ya malori hayo kuziba
daraja