araway JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 534 Reaction score 147 Aug 12, 2012 #1 ajali nyingine imetokea muda huu maeneo ya msata imehusisha basi na gari ndogo . Nimeona miili ya watu imewekwa pembeni na watu wanaendelea kuwatoa kwenye gari ndogo. Nipo kwenye basi namimi nasafiri ni hicho tu nimeona niwajuze
ajali nyingine imetokea muda huu maeneo ya msata imehusisha basi na gari ndogo . Nimeona miili ya watu imewekwa pembeni na watu wanaendelea kuwatoa kwenye gari ndogo. Nipo kwenye basi namimi nasafiri ni hicho tu nimeona niwajuze
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Aug 12, 2012 #2 Du! Poleni jamani
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Aug 12, 2012 #3 Balaa gani hii wakati huu jamani!
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,200 Aug 12, 2012 #4 Duh! kaz kweli, ndo viongozi wetu wanatoa sadaka au ndo misukule ya mama rwakatale inataka damu hapo msata?
Duh! kaz kweli, ndo viongozi wetu wanatoa sadaka au ndo misukule ya mama rwakatale inataka damu hapo msata?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Aug 12, 2012 #5 Nadhani ni msimu wa MAVUNO huu!
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 538 Aug 12, 2012 #6 Malawi wana sifa ya uchawi.
mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 525 Aug 12, 2012 #7 Haaa wamekataaa watakatajeee
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,170 Aug 12, 2012 #8 ewe mungu tunusuru na hili balaa
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,388 Reaction score 99,200 Aug 12, 2012 #9 Mhhhh hizi ajali ni nomaaaaaa!!!
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Aug 12, 2012 #10 Chaguzi za chama na jumuiya zake.