Ukiamka toka usingizini ukumbuke kututag
Hapo kwenye heading ungesema kabisa km picha hamna kuliko kuchoma mb za beberu Mark
Hadi ww unahitaji picha
Hadi ww unahitaji picha
Uzi kama huu unakwendaje bila picha?
Movie theater na Cinema ndo funga kazi... Japo huwa naongea nao tu, I've never asked for a date
Yah ni kweli nilienda Mkuki house pale kuangalia movie nikashuhudia unayosema .Movie theater na Cinema ndo funga kazi... Japo huwa naongea nao tu, I've never asked for a date
Huu ujasiri uliokukimbiza JF kuanzisha uzi uchukue ukukimbize kwa huyo dada ukamuulize anatumia kinywaji gani