Mimi kwa sasa hadi nimechoka, kila mala nikinunua bundle la wiki, nakupata sms 300,natumia kama sms 5,naambiwa zimekwisha!!! Unawapigia wanakwambia ni kweli zimekwisha!! Ukiangalia salio sms, wala bundle zinaonyesha 0!!nimewatukana wakinitafuta powa, nimenunua umeme yapata wiki 2,sasa pesa wamekata hadi leo sijapata token! !ukiwapigia eti linashughulikiwa!!
kweli hata mie nimewastukia waache haka kamchezo
Habar wanajamii
Ni mara kadhaa nimebaini kuwa Airtel mnaniibia muda wangu niliojiunga kwa vifurush vya internet, mfano jana jioni nilijiunga kwa kifurushi cha 500/- na kupata mb 300, lakini sikutumia kabisa kifurushi hicho, leo nilipo amka nikaangalia salio nikakuta kuna mb 285.
Chaajabu nilipojiunga na internet nilifanikiwa ku-dowload Mozilla Firefox ambayo kwa ufam wangu wa IT hiyo software haizid hata mb 100, baada ya hapo nilifanikiwa kufungua gazeti la mwananchi, internet imekata napokea SMS bundle imeisha.
Hii inakuwaje km sio wizi, unapo-comment kurudisha jibu hasi zingatia ninae lalamika hapa ninakautaalam wa IT
Nawasilisha
Nadhani kulalamika hapa haikusaidii..Toa malalamiko yako sehemu husika..Kituo cha huduma kwa wateja kipo au TCRA Ipo pia..