AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
daresalamuSema ulipo ili wTu wa mji wako wakujibu
Aniko zile za zamani ndiyo poa ila siku hizi zipo feki teleAniko, za kijapan, bei ni 70,000 , achana na zile takataka za kichina za 30,000
mpaka sasa bado zipo , bei inajieleza, nnayo moja apa ina miaka 7 sasa haijaguswa na fundiAniko zile za zamani ndiyo poa ila siku hizi zipo feki tele
Mkuu, miaka 7 unatumia feni??? Sasa air conditioner utanunua lini??mpaka sasa bado zipo , bei inajieleza, nnayo moja apa ina miaka 7 sasa haijaguswa na fundi
hahahaha , kamanda vyuma vimekaza era hii, ntacheki baada ya miaka 3 mambo yatakaajeMkuu, miaka 7 unatumia feni??? Sasa air conditioner utanunua lini??