Aibu za Mwaka 2014

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,785
Reaction score
9,719
1. BMK kupitisha katiba feki
2.ESCROW na hotuba ya JK kwa "wazee" wa Dar kusafisha majizi ya fedha zetu. Ongezea.
 
3) utawala mmbovu
4) watu wasiyo na sifa wanapewa vyeo kiulaini
5) ikulu imekuwa kama gue..... house
 
Dakta Shein anawatangazia UMMA wa wanzazibari eti Zanzibar ina mamlaka kamili! Really Dakta Shein?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…