Wasomi( Walimu na wanafunzi) zaidi ya 70 wapewa 5000 ili wapokee kadi za CCM tarehe 26/1/2013 kwa Philip Mangula. Kama wasomi mnakubali kuhongwa 5000 je tulioko Vijini hatujui vizuri Madudu yanayofanywa na Serikali isiyokuwa makini hii tutapokea sh Ngapi? Kuna watu walikuwa mstari wa mbele kulaumu Wagombea mamluki wa CDM( mfano Mbeya Vijini na Isimani-Iringa) kwa kuhongwa milioni kadhaa kama wasaliti je wanaokubali kupewa 5000 tuwaweke kundi gani? Badala ya kupigania Promotion we unapigania kupata kadi ya Chama Cha Mafisadi. Inasikitisha.
International pumba point
Mkuu ni haki yao, waache wachukue. Siku hizi ni kula CCM; kura kwa chama makini. Wagawaji waache wagawe sana na wapokeaji waache wapokee sana. Nimeongea na mmoja ameniambia watazichoma moto baada ya muda.Wasomi( Walimu na wanafunzi) zaidi ya 70 wapewa 5000 ili wapokee kadi za CCM tarehe 26/1/2013 kwa Philip Mangula. Kama wasomi mnakubali kuhongwa 5000 je tulioko Vijini hatujui vizuri Madudu yanayofanywa na Serikali isiyokuwa makini hii tutapokea sh Ngapi? Kuna watu walikuwa mstari wa mbele kulaumu Wagombea mamluki wa CDM( mfano Mbeya Vijini na Isimani-Iringa) kwa kuhongwa milioni kadhaa kama wasaliti je wanaokubali kupewa 5000 tuwaweke kundi gani? Badala ya kupigania Promotion we unapigania kupata kadi ya Chama Cha Mafisadi. Inasikitisha.
Someni vijana acheni hizi siasa za makelele hazitawasaidia kitu........tengenezeni G.P.A mje tupambane huku mtaani hakuna CDM wala nini kitakupa ugali wee jidanganye
Watakula hizo G.P.A??Someni vijana acheni hizi siasa za makelele hazitawasaidia kitu........tengenezeni G.P.A mje tupambane huku mtaani hakuna CDM wala nini kitakupa ugali wee jidanganye