kunze JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 400 Reaction score 472 Aug 23, 2018 #1 Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili,hebu watujuze sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari maana kila siku supu ya kibua na chapati,kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani. Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili,hebu watujuze sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari maana kila siku supu ya kibua na chapati,kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani. Sent using Jamii Forums mobile app