Wana Jf naomba msaada kama kuna mtu anajua hospitali inayotoa tiba ya afya ya mfumo wa uzazi kwa wanaume naomba anijuze tafadhali. Natanguliza shukrani.
nenda kamuone Dr Ngarina hapo MNH atakausaidia ama kama unaweza pia kumuuliza Prof Kaisi tatizo limeisha.
Pole sana na hongera kwa kuwa mwanaume jasiri na kuthubutu kusema unataka mtaalam wa afya ya uzazi
kwa nyongeza tu pale MNH nenda jengo la wazazi utakuta kinamama wengi pale wewe usiongee nao nenda moja moja kwenye dawati la nesi muulizie njia za kuweza kuwaona hao watalaam na ukisema tatizo ni la kiume basi watakusaidia kwa haraka zaid.