Congrats Obama!!! Umefanya mengi sema Wamarekani hawatosheki!! Uchumi mzima wa dunia umeyumba, wenzenu East wanasaidiana kunyanyua uchumi unadorora, unemloyment very high, high living cost (inflation), etc na nyie mnalialia!!!!! Bush aliacha Amerika ikiyumba sana kiuchumi, yet hawaoni juhudi za Obama, those against him!!!! Ila nimefurahi Amerika kuna siasa za kweli, na wakiamua wameamua na Obama truly, unapendwa!!! Hizo asilimia ulizopata zimepita hata zile za Bush za second term!! Keep it up man!!
Nadhani ameshinda kwa sababu ya Romney. Kama angesimam na mtu kama Ron Paul asingerudishwa. Mitt ni mjinga, mwongo na hakubaliki hata kwa watu wapambafu kama Wamarekani!
thanks.... ameshinda because romney is weak and not american choixeNadhani ameshinda kwa sababu ya Romney. Kama angesimam na mtu kama Ron Paul asingerudishwa. Mitt ni mjinga, mwongo na hakubaliki hata kwa watu wapambafu kama Wamarekani!
But kumbuka ushindi ni 50% kwa 48% ikimaanisha pia kuwa Romney alikuwa na likelihood ya kuchaguliwa!!! Obama amefanya mengi mazuri ni kwa sababu mbalimbali wanampinga tu!!! Democrat wenyewe wanampenda na asingekuwa competitive wasingemnadi!!! Tukubali amefanya mengi mazuri tu ni vile kuna na ka ubaguzi ni vile hawakasemi wazi!!! But kwa black I tell you ameshinda sana, Ingekuwa ni white hata kama aliboronga wangempa over 50% aliyopata!! But kwa kuwa wengi pia wanajali kafanya kazi ameshinda!!!