dynnalovee
Member
- Nov 12, 2016
- 11
- 14
And TCB natural relaxer!!?[emoji47] ..wow..*FAIDA ZA AFRICAN BLACK CASTOR OIL*
hujaza nywele
hurefusha nywele
huzuia nywele kukatika
huondoa mba
kulainisha nywele
kufanywa nywele kuwa nzito
kuotesha kipara
kurefusha kope na nyusi
kulainisha lips
huondoa michirizi naboulainisha ngoz ya mwili
huondoa makovu mwilin
kuimarisha kucha
Hakika hutoyajutia Haya mafuta
0653177212 or 0756723541View attachment 845209View attachment 845210View attachment 845211View attachment 845212View attachment 845213View attachment 845214
Sent using Jamii Forums mobile app
8000 chupa ndogo 15000 chupa ndogo. Yaani Haya mafuta ni natural kabisa hayana mchanganyiko wa kitu chochote karibuBei gani hayo mafuta? Na yana tofauti gani na Jamaican black castor oil?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,Chupa ndogo ni ml ngapi? Muhim kuweka details zote8000 chupa ndogo 15000 chupa ndogo. Yaani Haya mafuta ni natural kabisa hayana mchanganyiko wa kitu chochote karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Harufu Yake ipo karanga sasa sijaona kama hilo ndo litakuwa kwanzo kwa kuyatumia. Maana tunauza kwa watu wengi na wanayatumiaYana harufu ile tuliyozoea ya mafuta ya nyonyo au yametolewa harufu