Rais wa Malawi anajidhalilisha na kuidhalilisha nchi yake.
Wameshakuwa mateka wa wenye kutoa pesa.
Bora angeamua kuwa maskini jeuri, ajipange kukuza uchumi wa nchi yake na wakati huo huo atafute misaada kutoka nchi ambazo hazina masharti ya udhalilishaji.
Rais wa malawi anafikili anaweza kuwafurahisha wazungu kwa kujidhalilisha!
Aibu kubwa hii kwa viongozi wa kiafrika!
rais wa malawi anafikili anaweza kuwafurahisha wazungu kwa kujidhalilisha!
Aibu kubwa hii kwa viongozi wa kiafrika!