ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Pole sana Mfanyakazi wa Umma kwa usumbufu unaoupata. Jaribu ushauri alioutoa mdau kwenye post # 2. Huyo Mama atashughulikiwa Kama walivyoshughulikiwa hao wanaojifanya MIUNGU watu kwenye ofisi za Umma. Afisa Utumishi wa wilaya ni mtu mdogo sana wa kufanya hayo anayofanya na kuhujumu Umma. Atashughulikiwa. Fuata hizo taratibu,kwa kuwa umeleta hii taarifa hapa JF nakuahidi kilio chako na wengine kitasikika. Usisahau kurudi hapa kutupa mrejesho wa yatakayojiri.heshima kwenu,
Sisi watumishi wa wilaya ya Muheza kulia kwetu ni kitu cha kawaida sana huwa tunashangaa hivi huyu ofisa utumishi hii wilaya ni ya kwake ama ana fanya kazi ya serikali?
kwa kweli naomba mwenye kujua hatua sahihi za kufuata au sehemu ya kuripoti atujulishe tumejaribu kuingia kwenye mtandao wa utumishi sehemu ya malamiko ambapo inabidi u sign up lakini naona kama mtandao haufanyi kazi kifupi ni kwamba huyu mama hataki kuwapandisha watu vyeo kuna watu walianza kazi na ngazi ya vyeti wakajiendeleza mpaka ngazi ya degree lakini bado wanamshahara wa ngazi ya cheti kutokana na unyeti wa taarifa hii nashindwa kuwaandika majina na ushahidi kwani inaweza kuharibu huu uhusiano wa kinafiki tulionao.
cha pili ni kwamba mtu anapo onyesha jitihada za kudai haki au kufuatilia madai yake wiki inayofuata mtu huyo atakuwa na wakati mgumu kwani atamfuatilia na kuhakikisha anamlima barua anaitwa mama mwilongo majibu yake ni ya mkato na ya ukali sasa jamani sisi watanzania tumesoma kwa gharama ili kuisaidia nchi yetu na kujiwezesha kiuchumi halafu serikali inakubali kweli tuichukie nchi yetu kwa ajili ya huyu "malkia" isitoshe tunafanya kazi huku vijiji kwenye mazingira magumu mtu kama mimi nina degree yangu ni mtu wa kulipwa laki mbili na nusu kweli.
mwanzo ilikuwa unapo maliza masomo unapewa barua ya uthibitisho na kupandishwa cheo na ngazi ya mshahara watu lakini inabakia maandishi tu bila utekelezaji ambapo utaongezewa tu majukumu ya kazi bila marekebisho ya mshahara. watu walikuwa wanaenda kulalamika kwa kutumia barua za uthibitisho.
sasa hivi amegundua mbinu mpya ambapo ana kupandisha cheo bila maandishi huwezi kukataa kwa sababu kesho yake hata uki banja kwenye kikao utalimwa barua ya kujieleza eti kwa nini unakuwa msumbufu wakati kikao kinaendelea .
yaani kwa kweli ukisikia mtu ameitwa kwa ofisa utumishi kule bomani lazima arudi na machozi du kweli hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo
Kwanini msiandike barua makao makuu ya Utumishi (ingawa ni wamoja kasoro majina na jinsia tu), hafu majina Anornymous mkitoa malalamiko yenu? Ndhani zikifika barua zaidi ya 5 wanaweza ona uzito wa jambo, ulichukulia serikali ipo katika phase ya kujisafisha kwenda 2015 October.
Permanent Secretary,
President's Office - Public Service Management,
P.O Boz 2483,
Dar es salaam,
Tel: +255-22-2118531-4
Fax: +255-22-2125299
Website: Public Service Management
heshima kwenu,
Sisi watumishi wa wilaya ya Muheza kulia kwetu ni kitu cha kawaida sana huwa tunashangaa hivi huyu ofisa utumishi hii wilaya ni ya kwake ama ana fanya kazi ya serikali?
kwa kweli naomba mwenye kujua hatua sahihi za kufuata au sehemu ya kuripoti atujulishe tumejaribu kuingia kwenye mtandao wa utumishi sehemu ya malamiko ambapo inabidi u sign up lakini naona kama mtandao haufanyi kazi kifupi ni kwamba huyu mama hataki kuwapandisha watu vyeo kuna watu walianza kazi na ngazi ya vyeti wakajiendeleza mpaka ngazi ya degree lakini bado wanamshahara wa ngazi ya cheti kutokana na unyeti wa taarifa hii nashindwa kuwaandika majina na ushahidi kwani inaweza kuharibu huu uhusiano wa kinafiki tulionao.
cha pili ni kwamba mtu anapo onyesha jitihada za kudai haki au kufuatilia madai yake wiki inayofuata mtu huyo atakuwa na wakati mgumu kwani atamfuatilia na kuhakikisha anamlima barua anaitwa mama mwilongo majibu yake ni ya mkato na ya ukali sasa jamani sisi watanzania tumesoma kwa gharama ili kuisaidia nchi yetu na kujiwezesha kiuchumi halafu serikali inakubali kweli tuichukie nchi yetu kwa ajili ya huyu "malkia" isitoshe tunafanya kazi huku vijiji kwenye mazingira magumu mtu kama mimi nina degree yangu ni mtu wa kulipwa laki mbili na nusu kweli.
mwanzo ilikuwa unapo maliza masomo unapewa barua ya uthibitisho na kupandishwa cheo na ngazi ya mshahara watu lakini inabakia maandishi tu bila utekelezaji ambapo utaongezewa tu majukumu ya kazi bila marekebisho ya mshahara. watu walikuwa wanaenda kulalamika kwa kutumia barua za uthibitisho.
sasa hivi amegundua mbinu mpya ambapo ana kupandisha cheo bila maandishi huwezi kukataa kwa sababu kesho yake hata uki banja kwenye kikao utalimwa barua ya kujieleza eti kwa nini unakuwa msumbufu wakati kikao kinaendelea .
yaani kwa kweli ukisikia mtu ameitwa kwa ofisa utumishi kule bomani lazima arudi na machozi du kweli hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo
mkurugenzi wenu anafahamu? Ene wei tutafuatilia...
bahada /QUOTE]
hiki nacho kiswahili?
Msamehe bure tu mkuu. Haya ni madhara ya kuangalia tamthilia ya Walang Hanggan, unajikuta unachanganya Kiswahili na kifilipino basi inakuwa kazi ya ziada....Familia yangu ni mhanga wa Walang Hanggan.bahada /QUOTE]