Bado Mkuu, sijui kuna nini na serikali yetu hii. Toka mda mrefu, sasa hivi unaenda mwezi wa pili toka usaili ule ufanyike ila kimya na wakati wao huwa wanadai inachukua majuma mawili tu mpaka kuitwa kazini.
Nami nilihusika ktk usaili ule ilikua tarehe 14 na 18 june na wakasema wataita kazini afta 2 weeks lakin hadi sasa mwezi na nusu hawajaita cjui wanampango gan??