STEPHEN JIBE
Member
- Jan 23, 2013
- 61
- 9
Mtazamo wangu safari hii naona mashindano ya kombe la mataifa ya africa 2013 ladha yake imepungua kabisa,tofaut na ile ya miaka ya nyuma ambapo 2liona ladha saf ya soka toka ha2a za awal had final,sijui kwa vle akna Okocha,
Mboma,Radebe,Diouf hawapo?
Msisimko unakuwepo kama kuna uwezekano wa kuziona mechi kwenye TV zetu. Sasa kama ni mpaka mtu alipie DSTV ya $120 na kuendelea,ili azione hizo mechi na kwa usawa huu mbona balaa
Hivi kima cha chini ni shillingi ngapi? Na Ukitoa 48000 itabaki ngapi?Sio lazima $120, mi naona kwa 48,000/- tu. Lakini umeme umeondoka.
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
Hivi kima cha chini ni shillingi ngapi? Na Ukitoa 48000 itabaki ngapi?
Ukiwa na kima cha chini hustahili kuangalia tv! (joking)
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
kama umeshazoea kuangalia games za italy,spain na england basi huwezi kuangalia games za africa....zitakuboa tuu