mwalex mwale
Member
- Nov 15, 2017
- 26
- 1
Hivi hii style bado ipo eee??Track za chini za
Adidas/kappaa Tsh.27,000/=
With free delivery in Dar.
Mikoani unalipia usafiri.
Ndioo habarii ya mjini.Hivi hii style bado ipo eee??
By the way, ni Kappaa au kappa??
hiyo inaitwa kappaa mchina uwa anabadilisha jina kidogo ili uingie chakaHivi hii style bado ipo eee??
By the way, ni Kappaa au kappa??
Umeona swali moja tu pale juu??Ndioo habarii ya mjini.
Kappa ndio bdoo zpooo na ndo zna kk hapaaa townUmeona swali moja tu pale juu??
Ha ha haaa,hiyo inaitwa kappaa mchina uwa anabadilisha jina kidogo ili uingie chaka
Nikueleweshe labda, pengine hujui nazungumzia nini,Kappa ndio bdoo zpooo na ndo zna kk hapaaa town
watani zangu wasukuma waliliwa sana pesa kwa hayo majina fekiHa ha haaa,
Umenikumbusha Panasoanic, Sonny, Hitach, etc