ACT na kushindwa kwa Kafulila

Kama Rwakatare alivumilia miaka 10 na akarudi Bungeni siona shida ya Kafulila kurudi Bungeni tena baada ya miaka mi 5 kupitia jimbo hata la Kigamboni tu. Kafulila atarudi tena bungeni, i promise you !
 
Mwambie boss wako ujumbe umefika.ila kafulila hajashindwa ubunge sema tu hajatangazwa mshindi
 
Mnasakama bure ACT, hivi uchaguzi wa 1995 na 2005 CDM ilipeleka wabunge Dodoma wangapi?
 
Magufuli akitaka kuonesha chuki juu ya ufisadi amteue Kafulila kama mbunge kati ya viti vyake kumi!! Atakuwa anapeleka ujumbe mahususi kwa mafisadi nchini.
 
 
chama kina mwaka mmoja tu, ni ujinga ukianza kutusakama kwa matokeo ya uchaguzi huu, uchaguz wa kwanza kwetu. kwa miaka ishirini mmeshindwa kuingia ikulu, tena hadi kwa msaada toka kwa fisad lowassa.
Umeona ndugu yangu, watuache
 
ulijibu mada inaonyesha kweli aidha mmehusika au mmefurahi kafulila kuanguka. Ila naamini kachakachuliwa hakushindwa kihalali!!!! Sehemu zote ambako kura zilichakachuliwa walichelewa sana kutoa mshindi.
 
Kama Rwakatare alivumilia miaka 10 na akarudi Bungeni siona shida ya Kafulila kurudi Bungeni tena baada ya miaka mi 5 kupitia jimbo hata la Kigamboni tu. Kafulila atarudi tena bungeni, i promise you !

Sisimizi amezama
 
Aliwatukana wana kigoma amevuna alichokipanda
 
Kafulila hakufanya uchambuzi wa kina wa athari za kumbeba lowassa na kumtukana zitto na kuwashambulia waha wote.
Lakibi miye sishangai pesa bwana hizo kalamba hela za lowassa sasa kakuona cha mtema kuni
Na wewe unakubali hayo?
 
Kafulila alisimamia haki. Tz kuna haki si dhuluma na ushabiki tu. Ndiyo maana hatusogei hata Wakenya wanaishia kutucheka na Waganda japo tuliwakomboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…