K kailakarama Member Joined Aug 30, 2014 Posts 73 Reaction score 30 Oct 18, 2014 #1 Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu.
Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu.
L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 Oct 19, 2014 #2 Hivi viroba vya bure ni sheeeda!
G gogo la shamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 6,669 Reaction score 2,165 Oct 19, 2014 #3 kailakarama said: Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu. Click to expand... sisi kina gogo la shamba tunasema ACT haipati mbuenge hata mmoja 2015,anaebisha achukue Address yangu alafu tuwasiliane baada ya uchaguzi wa 2915
kailakarama said: Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu. Click to expand... sisi kina gogo la shamba tunasema ACT haipati mbuenge hata mmoja 2015,anaebisha achukue Address yangu alafu tuwasiliane baada ya uchaguzi wa 2915
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Oct 19, 2014 #4 Ikulu ya Kigoma?
Utotole JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,608 Reaction score 4,265 Oct 19, 2014 #5 gogo la shamba said: sisi kina gogo la shamba tunasema ACT haipati mbuenge hata mmoja 2015,anaebisha achukue Address yangu alafu tuwasiliane baada ya uchaguzi wa 2915 Click to expand... Huo mwaka ndugu, rekebisha kidogo. Unajua '0' imekaribiana na '9' kwenye keyboard za 'qwerty'.
gogo la shamba said: sisi kina gogo la shamba tunasema ACT haipati mbuenge hata mmoja 2015,anaebisha achukue Address yangu alafu tuwasiliane baada ya uchaguzi wa 2915 Click to expand... Huo mwaka ndugu, rekebisha kidogo. Unajua '0' imekaribiana na '9' kwenye keyboard za 'qwerty'.
allyhidwaway New Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Oct 19, 2014 #6 Tuseme insha'allah!!!!
B bandu bandu JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,747 Reaction score 874 Oct 19, 2014 #7 kailakarama said: Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu. Click to expand... Hata mjumbe wa nyumba kumi humpati pimbi we,msaliti we.
kailakarama said: Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu. Click to expand... Hata mjumbe wa nyumba kumi humpati pimbi we,msaliti we.
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,263 Oct 19, 2014 #8 kailakarama said: Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu. Click to expand... Kwa muda ulioandika hii thread ni saa 5 usiku, nadhani ni hasira za kunyimwa unyumba na mkeo.
kailakarama said: Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi. 2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu. Click to expand... Kwa muda ulioandika hii thread ni saa 5 usiku, nadhani ni hasira za kunyimwa unyumba na mkeo.