T tashyno abas Member Joined Jul 8, 2015 Posts 12 Reaction score 8 May 19, 2024 #1 Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,726 Reaction score 58,211 May 19, 2024 #2 Mcheki mzizi mkavu
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,542 Reaction score 11,707 May 19, 2024 #3 Chemsha chai ya kwenye maji nusu kunywa asubuhi kabla ya kula chochote then piga mswaki tekenya koromeo utapike. Itapungua sana hata kama nguvu huisha itarudi
Chemsha chai ya kwenye maji nusu kunywa asubuhi kabla ya kula chochote then piga mswaki tekenya koromeo utapike. Itapungua sana hata kama nguvu huisha itarudi
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,905 Reaction score 14,963 May 19, 2024 #4 Andaa 45000/- nikupe dawa ambayo itakusaidia kutibu hilo tatizo...