EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Fala mwenyewe
Naona umesha potezewa..rudi facebook tafadhari
Kuachwa ni shughuli pevu, hasa kwa yule uliyempenda!
Munio wakho[emoji57][emoji57]Kwani kuna mtu kaachwa?
Kweli kabisa"Siku zote Kumnyanyasa na kumpotezea Mpenzi wako ni kumfundisha kuishi bila ya wewe. Baadhi ya watu wanafikiri kwamba kuwafanyia hvyo wapenzi wao ni kuwakomoa.
Wasichojua ni kwamba kadiri muda unavyozidi kwenda, ndivyo mtu anazoea maumivu na kukuona wa kawaida.
Kuwe na Ukweli, pale unapomchoka mtu mueleze wazi tu, ni heri maumivu ya mara moja kuliko yale ya kila siku!"
Im done!!View attachment 1114040