Kabisaa mkuu, mtu ana dunduliza 50,000 kila mwezi kwa kusave bank, ukitaka kujua ni balaa weka 50,000 iache miezi sita bila kuongezea, utakuta inepungua,Wazo la DHAHABU.
Hususani kwa watu wenye malengo na wasiopenda kuyumba katika maisha au kulea familia.
Bank kwa wenye pesa kiduchu ni UJINGA
Mkuu upo sahihi, mfano tu unataka kukopa milio 2, kweny succoss ama kikundi hisa kilichostable ni rahsi tu, lakin kakope bank uone... Mashariti yalivyo tait.Siku hizi ndio style za watu wengi kua na SACCOSS na VICOBA na kwa kweli mimi binafsi vimenisaidia sana. Tatizo saa nyingine watu wanakua hawapo serious sana hali inayopelekea kuvunjika kwa utaratibu huu kabla hamjatimiza malengo yenu.
Natamani sana ningepata kikundi /watuwalio serious kufanya nao hii kitu.
Mkuu ukitaka kuamin hilib, angalia pia wakina mama wengi ambao ni head of the family, wana biashara ndogo ndogo lakin wanasukuma maisha kwa kusomeaha na hata kujenga, wanasave kupitia vikundi hisa na vikoba. Faida yake huja pale mnapovunja mwisho wa mwaka, faida zinatokana na zile interest za mikopo, faini na hata biadhaa za vikundi kama kikundi kinafanya hivo pia.Kidogo naanza kuelewa.
Maana kuna watu nasikia wanaendesha vibiashara kwa vikoba na mfuko wa Tulia.
Ngoja nami nifanye mchakato.
Vikundi mara nyingi ni kuangalia aina gan ya wanachama, location na mahusiano, katiba, uwezo wa wananchama wengi, source za hela za wanachama wengi. Mkuu mm hata nikiwa nan20,000 mfukoni nawaza teni niongeze hisa, ten nikae kuangalia game ya liva na man cty na bia zangu mbil au tatu basi.Ni kweli, kua na nidhani ya pesa haswa sisi wanaume kuna kaugumu kidogo...
Ila mimi vikundi sinaga imani navyo... napenda fix deposit, na ndiyo nachofanya...
Naweka bank tofauti tofauti ila kwa fix deposit.
Cc: mahondaw
Mkuu hii kitu haijalishi unapata kiasi gan, utanunua hisa kulingana na uwezo wako, amin kuna mtu anapata take home one m lakin still kusave ni shida, mkuu wakina mama wenye biashara ndogo ndogo kabisa wanatumia vikundi hisa kusave, so hata mweny take home ya laki 3 vikundi vya namna hii ndo mkombozi wa kununua plot na hata kuweka msingi.250,000 halafu 50,000... Watanzania walio wengi huo ndio mshahara! Ikitokea anamkopo benki au bodi ya mkopo ndio inabaki kiasi kidogo zaidi! Nionavyo wewe mshahara upo juu au bado hujawa na majukumu! Wazo zuri ila vidole haviringani
Walaaa tena wanaojiunga wanakuaga watu wa vipato vya kawaida sanaaaa. Kinachotakiwa ni nidhamu tu yakujua kwamba kila mshahara ukiingia kabla hujafanya matumizi yoyote 50,000 au 100,000(inategemea kiwango cha kikundi) sio yako ni ya SACCOSS /VICOBA.250,000 halafu 50,000... Watanzania walio wengi huo ndio mshahara! Ikitokea anamkopo benki au bodi ya mkopo ndio inabaki kiasi kidogo zaidi! Nionavyo wewe mshahara upo juu au bado hujawa na majukumu! Wazo zuri ila vidole haviringani
TrueWalaaa tena wanaojiunga wanakuaga watu wa vipato vya kawaida sanaaaa. Kinachotakiwa ni nidhamu tu yakujua kwamba kila mshahara ukiingia kabla hujafanya matumizi yoyote 50,000 au 100,000(inategemea kiwango cha kikundi) sio yako ni ya SACCOSS /VICOBA.
Mikopo huku ni ya masharti nafuu na mara nyingi collateral ni hisa yako haihitaji sijui kiwanja wala gari. Na pia hua vikundi vingi vinakua na utaratibu wa kusaidiana kwa shughuli za kijamii mf. Misiba, uzazi, harusi, ugonjwa etc. bila mhusika kukatwa wala kuumiza kichwa!!
Advantage ni kubwa ndo maana wanaoelewa hata kama mshahara/kipato ni kdg lazima ajiunge.
We unafikiri kina mama Ada, kodi na pesa za kukidhi mahitaji tunapata wapi kina baba wanapokwama??
Sasa pesa ukiweka benki haizai lakini huku hisa inakua na faini ndogo ndogo zinatunisha mfuko shares zinakua.
Very true.True