Accute sinuses

Ugonjwa husababishwa na common Cold.Infection of with a virus.

Ukiona dalili hizi nenda hospitali haraka homa,uvimbe kwenye kipanda uso,kuchanganyikiwa na shingo kukakamaa (stiff neck).
 
Ugonjwa husababishwa na common Cold.Infection of with a virus.

Ukiona dalili hizi nenda hospitali haraka homa,uvimbe kwenye kipanda uso,kuchanganyikiwa na shingo kukakamaa (stiff neck).
Ni dawa gani mgonjwa anaweza kutumia
 
Mkuu nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi na matibabu.
 
Mgonjwa anaweza kutumia dawa gani
Kama pua zimeziba na unapumua kwa shida tumia matone ya Ephedrine nasal Drops. Iko ya watoto na iko ya watu wazima. Lakini ni vizuri sana ukapata ushauri wa Daktari Hospitali kwanza. Pole sana.
 
Nilikuwa nauliza ni dawa gani mgonjwa anaweza kutumia kwa sababu hospital tiyari tumeenda na dawa walizotupatia hazikufua dafu,mara nyingi wamekuwa wakituandikia dawa amoxclavunet kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…