mmhhh kwa nn mnamsakama hivyo..??? hicho kiingereza ndio nini kwani acheni uboya wa kudhani kujua kiingereza ndio kua na akili huo ni ushamba na ulimbukeni, ndio maana mnaambiwa muwe mashoga ili mpate misaada kwa sababu mnashobokea lugha za watu,,,kama mna nia ya kumsaidia mshkaji chukueni number hiyo mumsaidie..