acha mbwembwe tunataka mchapa kaxiiBoss natuma CV nimebobea kwenye uhasibu.niko fiti
Mkuu sina experience..Habari Wakuu..
Nahitaji accountant kwa ajili ya biashara zangu za hapa na pale (full time employment)
Send your CV to svirji.gtex@gmail.com or you can PM for further details.
Thanks
duu chuo ulikuwa unafanyeje mkuuMkuu sina experience..
Naomba nije nijifunze kazi bila malipo..
Mkuu umeelewa nilicho kiandika lakini..?! aliye kwambia experience inapatikana chuo ni nani?duu chuo ulikuwa unafanyeje mkuu
Field hukuenda Kwan.... any way kila lakheriMkuu umeelewa nilicho kiandika lakini..?! aliye kwambia experience inapatikana chuo ni nani?
We ndo hujaelewa alichoandika...experience haipatikani chuo??..kwa hiyo field watu wanaenda kutafuta nnMkuu umeelewa nilicho kiandika lakini..?! aliye kwambia experience inapatikana chuo ni nani?