deezekiels Member Joined Mar 20, 2014 Posts 42 Reaction score 3 Jun 29, 2014 #1 Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu
Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,765 Jul 19, 2014 #2 deezekiels said: Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu Click to expand... Kwa Mkombozi Bank uwe na vitu vifuatavyo: 1. Usajili wa kikundi 2. Muhtasari wa kikundi au barua inayoonyesha azimio la wanakikundi kufungua akaunti 3. Picha za signatories 4. Barua ya mtaa kilipo kikundi 5. Pesa ya kianzio
deezekiels said: Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu Click to expand... Kwa Mkombozi Bank uwe na vitu vifuatavyo: 1. Usajili wa kikundi 2. Muhtasari wa kikundi au barua inayoonyesha azimio la wanakikundi kufungua akaunti 3. Picha za signatories 4. Barua ya mtaa kilipo kikundi 5. Pesa ya kianzio
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Jul 23, 2014 #3 Otherwise fika ofisini kwao pale zamani Cathedral bookshop town city centre karibu na St Joseph Church.
Otherwise fika ofisini kwao pale zamani Cathedral bookshop town city centre karibu na St Joseph Church.