Acb bank

Skyblue

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
196
Reaction score
55
Vipi jamani acb na kazi zao za utellers walisha itaga watu kwenye usaili. au walishakuwa nao tayari wakawa wanatimiza wajibu tu.
 
mpaka lini.....inamaaana hao wote walitanga bila kujipanga?
Mimi nliapply mwanainchi communication na nlikidhi vigezo vyote na walisema wataanza kuita tarehe 04 january mpaka sasa kimya duh....
maisha magumu mtaani jamani mtuulumie sisi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…