uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
O713961638weka number yako
btu ngap mkuu?
Inategemea na aliyekuuzia ndugu... Ac yangu haina tatizo lolote imetumika miezi 3..Katika maisha nimejifunza hakuna hasara km kununua kitu used.
Fanya laki tatu mkuu... Ina miezi 3 bado ipo katika mwonekano wa upya... Haina tatizo lolote naiuza kwasababu nimehama.Mku nina 200000
Ndio hali mbaya mkuu ndo maana na mimi nimeiuza hiyo bei ya kutupa. Kutoka laki 7 bei ya dukani hadi laki 3 kwa bidhaa yenye miezi 3 ni bei ya kutupa.Mku ofa yangu imeisha hapo hali mbaya mku