Mkuu una juhudi nzuri, kama unashindwa kusearch hizo kazi utaweza kweli kuzifanya? Jambo rahisi kabisa la kuzitafuta na kuweza kujua masharti na vigezo vyake likikushinda ni dhahiri japo sio lazima au mara zote utashindwa hata usaili licha ya kuiweza kazi yenyewe.
Abroad ina maana pana sana, kuna mashirika ya kimataifa ya watu binafsi, makampuni n.k haujasema unataka ya aina gani na kwa kazi ipi na una sifa na uzoefu gani?
Jionyeshe wewe mwenyewe kwanza kwamba uko tayari kwa kazi na una itaka mkuu.